Lulu na Young D wafumwa live wakibanjuka ndani ya gari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wasanii hao walibambwa Live wakifanya mchezo mbaya au uzinzi ndani ya gari la mwigizaji lulu usiku mnene maeneo ya Mbezi beach, askari waliokuwa wakifanya doria waliwabamba live ambapo wasanii hao waliomba wayaongee pembeni ili siri isifuje kwa raia. LULU alipopigiwa simu kujibu mashtaka hayo alikata simu haraka haraka



SOURCE:GOSSIP COP-SOUDY BROWN-CLOUDS FM
 

Hebu tuondolee upuuzi wako huu, peleka kwa Shigongo.
 

cha ajabu ni nini kwani young dee hawezi kumwinamisha lulu, kiukweli hii thread inakera!
 
Waacheni wafwaidiiii thindio raha zenyewe jamani
 
Ukisikia Lulu basi ujuwe ni yuleyule wa Capten Komba ambaye miaka yake ya kuzaliwa inaenda mbele na kupiga revasi.
Kuna huyo aunty Lulu naye wanamwita hivyo hivyo.Kuna thread ikimuhusu yeye na jamaa anayeitwa Bond mwenye michezo mibaya binti akilalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…