Lulu: Nashindwa kujizuia kuwapa uroda midume

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];LULU' amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini anashindwa.

Akizungumza na tovuti yetu, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa akiota anafanya ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa anajiskia mchovu na hali hiyo imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];do' nao.



"Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda" alisema Lulu.
 
Ifike sehemu naye amthamin aliyemnunulia gari na kukupangishia nyumba
 
 
Last edited by a moderator:
Naona jini mahaba lake ni liberali,linakubali kushare dudu,tofauti na yale mengine yanaharibu mahusiano na unakosa hamu ya ku do na mwanaume awaye yeto!!yeye anagawa kwa 'majini' na wanaume wa kawaida tena hawez akalala bila ku do!!Nowonder anaonekana mkubwa kuliko umri wake!!afu ana jini makata pia kasahau linakata roho za wanaume...na jini nkunenkune!!
 
Reactions: ovi
Hivi mtu mwenye akili zake na kujiheshimu anaweza kusema uchafu kama huu hadharani kweli?
 
Hata mi nimemla kabla ya kanumba alikiba mr blue
 
Hivi mtu mwenye akili zake na kujiheshimu anaweza kusema uchafu kama huu hadharani kweli?

uuuwiii!!! kumbe na wewe umeshtuka kama mimi??? lakini huyu mtoto si ni mtaalam wa kumeza zile dry dry! i mean viroba vikiwekwa kwenye chupa ndefu? huwezi jua alikuwa kwenye zile akili zake za usiku, ukiwa mkavu huwezi ongea this shame on public, kiiiruuuuuu!!!! amenikumbusha kale kapicha kale alikopigwa club akiwa kavalia chupi na braa pekee alafu yupo tilalila Mr. blue atasubiri sana.
 

shoo haya majini unayajua majina kituu, ila hilo jini lake halimtakii mema haki, kumfanya mwenzao agawe papuchi kama karanga za kuonja ni nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…