uuuwiii!!! kumbe na wewe umeshtuka kama mimi??? lakini huyu mtoto si ni mtaalam wa kumeza zile dry dry! i mean viroba vikiwekwa kwenye chupa ndefu? huwezi jua alikuwa kwenye zile akili zake za usiku, ukiwa mkavu huwezi ongea this shame on public, kiiiruuuuuu!!!! amenikumbusha kale kapicha kale alikopigwa club akiwa kavalia chupi na braa pekee alafu yupo tilalila Mr. blue atasubiri sana.
Hivi mtu mwenye akili zake na kujiheshimu anaweza kusema uchafu kama huu hadharani kweli?
Ha ha ha mkuu kule behind magwiji washazibua?...
Wewe nae unatetea nini na wakati mwenzako Lulu anakiri kuwa beki zake hazikabi kabisa mbele ya forwad zenye uchu wa magoli.
Lulu nishapiga sana hapo
Nasikia ni huduma kwa jamii!!shoo haya majini unayajua majina kituu, ila hilo jini lake halimtakii mema haki, kumfanya mwenzao agawe papuchi kama karanga za kuonja ni nini???
Ha ha ha mkuu kule behind magwiji washazibua?...
Ha ha ha mkuu kule behind magwiji washazibua?...
aaah aah aaaah mkuu, ya kweli haya? daah, nimepitwa!