Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Tuwekee hayo mashtaka. Mimi sijaona ni wapi kashtakiwa, najuwa kuwa mpaka sasa kazuiliwa kusaidia uchunguzi wa kifo.
Wanasheria, tunaomba muongozo wa hii kesi ya Dogo Lulu,je anashitakiwa kwa kuua moja kwa moja au kuchangia kifo? Maaana mpaka sasa ni kizungumkuti, nimesoma hii taarifa inaonesha anashitakiwa kwa kuua.
Hakimu ambembeleza Lulu mahakamani
Kasomewa shtaka la kuua mkuu!
Jamaa wewe wa ajabu kweli, mi ni mhasibu siyo mwanasheria!!! Kanye mavi ulale!kwani wewe ulivyosikia amesomewa shitaka gani. alafu hamana kitu kinaitwa second murder case kwenye sheria. its either first degree murder ambayo hapa kwetu ndio kuua kwa kukusudia au second degree murder ambayo ni kuua bila kukusudia.
Second murder case? Dogo acha utani. Kama vipi tumia Kiswahili.Wanasheria, tunaomba muongozo wa hii kesi ya Dogo Lulu,je anashitakiwa kwa kuua moja kwa moja au kuchangia kifo? Maaana mpaka sasa ni kizungumkuti, nimesoma hii taarifa inaonesha anashitakiwa kwa kuua.
Hakimu ambembeleza Lulu mahakamani
Jamaa wewe wa ajabu kweli, mi ni mhasibu siyo mwanasheria!!! Kanye mavi ulale!
Sasa wewe Dr na Cr zitajua wapi mambo hayo ya degree, mi nimelisikia tu hilo neno kutoka kesi ya George Zimmerman aliyeshitakiwa kwa hiyo hiyo second... sasa alipaswa aseme tu kuwa mkuu kisheria inaitwa hivi... na siyo kuæø.sidhani kama inahitajika kuwa mwanasheria ili kujua kichwa cha hii habari kina mushkeli, kuwa mstaarabu tu mkuu
Murder one or murder two?
Na kama uchunguzi haujakamilika (ambayo ndiyo ilikuwa sababu ya kupangiwa tarehe ingine ya kesi kusomwa) iweje wamsomee shitaka la kuua?