Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.
 
Inawezekana kama mdau juu alivyosema labda ana sugardaddy,mumee au pedeshee!!
 
Kwani wale wa Jolly's club au Ohio street wana permanent relationship? May be she is one of the kind!
akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.
 
mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio watu wamehalalisha msemo huu wamekaharibu kabinti ka watu dah kweli dunia ni uwanja wa fujo.
 
Alikuwa na TANMO wakala mtaji wote wa udaku jf
sasa naona pesa imekwisha tanmo kapigwa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…