Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.

akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana?


.....haiwezekani....
 
labda ndo aliku anatabiri kifo cha mkuu
 
akihojiwa na salama ndani eatv amesema hivyo wakuu hii inawezekana.

Si malaya? hapo alikuwa kibiashara zaidi, ni mambo ya short time hayo, ndiyo maana kamuua Kanumba! labda walishindwana bei! malaya anakuwa nawe halafu unamzuia kuongea na bwana mwingine si lazima pachimbike hapo?
 
Ngozi imemkaukia shingoni......

Hwezi kuficha ugonjwa
 
Du lulu pole mtoto,unaweza kuta hata yeye hakutegemea hilo litokee..
 
wote wawili - kanumba na lulu wamevuna faida ya umalaya - walitegemewa kuwa kioo cha jamii kupitia vipaji vyao but haikua hivyo, nafasi aliyonayo malaya lulu kwa sasa atubie dhambi zake kabla umauti haujamfika
 
huyu mtoto atakua anaogopwa sasa.ukimkorofisha anakukanumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…