Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu Diva miaka 19 mmmmhhhhhhh
Huyo bibi puuuu!!!!
Hilo ziwa ni la 19 years old? [emoji119][emoji119][emoji119] na hiyo sura je? Basi watoto siku hizi wanazeeka kabla hawajakuaHapo amepunguza 16
Mkuu, naona utakuwa umesoma vibaya.''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz
Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu huko ulimwenguni? Tuna safari ndefu sana.
View attachment 1197775View attachment 1197776
Nisawa kabisa mkuu, ebu pindua hiyo 19 utapata 61Lulu Diva miaka 19 mmmmhhhhhhh
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] 61Mkuu, naona utakuwa umesoma vibaya.
Ama hiyo 19 imepindika upsidedown... teh[emoji28]
Mambo mengi hayo ya nini Brother Mshana..wewe angalia tu mikono..unamaliza kila kituUtamtambuaje mwanamke mzee?
Manyonyo kuwa bata au umoja
Sura kuwa ngumu
Kwapa kukomaa
Mikono kuota sugu kwa nyuma na kuweka alama nyeusi
Paja kukomaa
Macho kuwa makavu
Kuota kunyanzi vidoleni
Mikono kushindwa kukunjuka yote....
Baada ya hapo kifuatacho ni kupinda mgongo....
Zifuatazo ni picha za binti na mbibiView attachment 1197785View attachment 1197787