Luludiva: Nina miaka 19, nitaolewa nikifikisha miaka 25

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz

Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu huko ulimwenguni? Tuna safari ndefu sana.

 
Mkuu, naona utakuwa umesoma vibaya.
Ama hiyo 19 imepindika upsidedown... teh[emoji28]
 
Utamtambuaje mwanamke mzee?
Manyonyo kuwa bata au umoja
Sura kuwa ngumu
Kwapa kukomaa
Mikono kuota sugu kwa nyuma na kuweka alama nyeusi
Paja kukomaa
Macho kuwa makavu
Kuota kunyanzi vidoleni
Mikono kushindwa kukunjuka yote....
Baada ya hapo kifuatacho ni kupinda mgongo....
Zifuatazo ni picha za binti na mbibi
 
Mambo mengi hayo ya nini Brother Mshana..wewe angalia tu mikono..unamaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…