R rujurumyo Member Joined Jan 28, 2013 Posts 54 Reaction score 10 Jan 31, 2013 #1 Jamani neno "live/directo " lina kiswahili chake? Nifahamisheni mwenzenu maana najiuliza luninga zetu hawajui ka mie au halipo bora waandike laivu
Jamani neno "live/directo " lina kiswahili chake? Nifahamisheni mwenzenu maana najiuliza luninga zetu hawajui ka mie au halipo bora waandike laivu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 31, 2013 #2 moja kwa moja au papo kwa papo