Lunch mchana wa leo: Nipikiwe vipi hiki KITOWEO?

Lunch mchana wa leo: Nipikiwe vipi hiki KITOWEO?

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
Jamani mie ndio nimetoka supermarket na nimenunua hiki kitoweo, tayari kukipeleka kwa mke wangu measkron aniandalie lunch...naombeni mnishauri nipikiwe vipi hiki kitoweo?

attachment.php
 
Attachments

  • 4932.jpg
    4932.jpg
    32.2 KB · Views: 682
Ngoja nipate staftahi kwanza.

Huyo samaki, lazima kichwa chake kinawatoa udenda wale wa akina 'idogi na ulanzi'
Wasije wakala skirin za komputa zao bure

Unakuta menyu pameandika 'dog ribs with rice'

'tree soup'?? au 'tree wine'???

😛eep:
 
duh! post yako inanikumbusha hili swali la kizushi, eti kati ya Wamakonde na Wachina nani anaongoza kwa kula vitu vya ajabu?
 
mmmmh,
ngoja waje wapishi wenyewe tuwasome.
 
Daaaa huu ni utani kwa naniii
 
wahehe nafikiri watakua wanajua zaidi kuandaa huo msosi,tuombe mungu mkeo awe wa huko.
 
Hapa chef mkuu X-PASTER anahusika.
Mie ntakata kachumbari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom