hii kweli lunch timeUzi wa kumkaribisha member yeyote wa JamiiForums karibu ya chakula cha mchana (lunch time)
Bila kusahau picha ya chakula itapendeza zaidi.
Karibuni lunch wapendwa
[HASHTAG]#demisi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mshanajr[/HASHTAG]
[HASHTAG]#EverynSalt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MziziMkavu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Gudume[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG]
Na wengine wengi.
Chakula cha taifaUzi wa kumkaribisha member yeyote wa JamiiForums karibu ya chakula cha mchana (lunch time)
Bila kusahau picha ya chakula itapendeza zaidi.
Karibuni lunch wapendwa
[HASHTAG]#demisi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Mshanajr[/HASHTAG]
[HASHTAG]#EverynSalt[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MziziMkavu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Gudume[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG]
Na wengine wengi.
watu wa mikoani hutalagi sembe mkuuWatu wa mikoani kazini
Nano kasema mnakula sembe?watu wa mikoani hutalagi sembe mkuu
si unaona kichakula hicho ni cha mtoto mdogo.
ugali ninaokula mimi we unakula milo minne mkuu.
kwa kizazi chenu sio kizazi nilichosoma mimi.Nano kasema mnakula sembe?
Nani kakuuliza kuwa hicho chakula nicha mtoto?
Ndio maana mnapata division 5
Upo sehem gani nisogeeBrother piga pasi ndefu ukiweza njoo tujumuike
Duuu sipafaham mkuuNipo kohome
Duuuuh haya bwana mm nipo hapa Ubung...Kwetu Uswaz mkuu nikikuelekeza lazima upotee tu
asante mkuuMkuu karibu sana tubonye