Hihiiiiii, lazima waisome uko PM, waje huku kama kwel wanatumudu, wanaishia kunya pm tu, kwi kwi kwi, bahat mbaya mm mambo y pm cnaga binamu, mi nakupa live humu humu nikuogope il iweje
Umtukane nani kwenda zako uko
Wewe jadili mada,Warumi humuwezi.
Ni mwanaume uyo lkn mmbea balaa
WARUMI kamwe usije kuacha kutuletea "umbeya" humu ,wasiopenda na wasisome wapite kimyakimya!wengine news zako tukizipitia tunajisikia burdani na tunaziamini mia fil mia! You know how to entertain!Nilitaka nikutukane bonge la tusi, sema nimekudharau tu.