JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.
Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.
Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.
Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.
tunashukuru kwa taarifa mkuu wa kaya!Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.
Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.
Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.
Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.
\pole sana lunyungu, tunakuombea kwa mungu akuponye haraka...! Nasi tunakumisi sana, lakini hopefully you will get back to the forum with good health...!