figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?
Wakuu kwa kweli nimeona sala zenu ila kwa kifupi niseme kama nisingalikuwa na access na matibu Tanzania hakuna .Prof .Kahamba anatibu lwa mazoea na wengi nasikia wana mwamini mno but ni mzigo .Alio wahi kuwaibu alibahatisha na Mungu wao ni mkubwa .The guy aliamua kutaka kuni opetrate baada ya kuona MRI scan imeonyesha disc zimekuwa compressed nikamuuliza uti wa mgongo unataka kufanyaje ? Yeye anataka nisiulize ila nilazwe MOI anipasue nikasema hell no .
Nimefika Ulaya jambo ambalo Tanzania walichukua mwezi na siku kadhaa kutafuta ugonjwa it took the doctors Ulaya only 4 hours wakajua ninaumwa cancer na ilitoka na ac ya gari.Wakagundua damu iliisha kaushwa na kuongezewa damu haraka haraka , sikupasuliwa na nimelala kitandani hosp muda murefu sana kuanzia mwana jana Sept hadi mwaka huu March .Mungu akasimama nami leo naongea nanyi na natembea wakati TZ walismea siwezi kutembea tena .Hawa ndiyo ma daktari wetu wa kuaminika Tanzania lakini wana shida kweli zaidi ya wagonjwa wenyewe .

Pole sana mkuu na hongera kwa kuweza kutembea tena........Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?

Mkuu sredi ya mwaka jana hii, stuka.Duh pole, yupo hospitali gani?
Mkuu sredi ya mwaka jana hii, stuka.
Swahiba ndo anatupa updates hapa!
Mkuu usichezee watu wengine kama unavyochezea ODM........... hilo neno hapo laweza zua kizungumkuti...........Ndo nimeona hapa, ujue nilichangia kwa kukurupuka, kumbe mchizi alishaenda yuropa!! na hali yake inshallaah Mungu anasaidia.
Mkuu usichezee watu wengine kama unavyochezea ODM........... hilo neno hapo laweza zua kizungumkuti...........
Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?
Wakuu kwa kweli nimeona sala zenu ila kwa kifupi niseme kama nisingalikuwa na access na matibu Tanzania hakuna .Prof .Kahamba anatibu lwa mazoea na wengi nasikia wana mwamini mno but ni mzigo .Alio wahi kuwaibu alibahatisha na Mungu wao ni mkubwa .The guy aliamua kutaka kuni opetrate baada ya kuona MRI scan imeonyesha disc zimekuwa compressed nikamuuliza uti wa mgongo unataka kufanyaje ? Yeye anataka nisiulize ila nilazwe MOI anipasue nikasema hell no .
Nimefika Ulaya jambo ambalo Tanzania walichukua mwezi na siku kadhaa kutafuta ugonjwa it took the doctors Ulaya only 4 hours wakajua ninaumwa cancer na ilitoka na ac ya gari.Wakagundua damu iliisha kaushwa na kuongezewa damu haraka haraka , sikupasuliwa na nimelala kitandani hosp muda murefu sana kuanzia mwana jana Sept hadi mwaka huu March .Mungu akasimama nami leo naongea nanyi na natembea wakati TZ walismea siwezi kutembea tena .Hawa ndiyo ma daktari wetu wa kuaminika Tanzania lakini wana shida kweli zaidi ya wagonjwa wenyewe .
pole sana Mungu yupo nawe Mkuu utapona Tu.ugua pole.
kashapona jamani.
Ndio anatujulisha hivyo.
mama weeee...........pole sana lunungu ..na unaweza kukuta hao madaktari walisoma nje ya nchi...Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?