Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji

Yes. Upo sahihi mkuu.. Lakini hata thread haipo conclusive kama umeisoma vizuri..

Watu wanahoji huo ukaribu wao kwenye events mbalimbali. Hata wewe ukiongozana na mwizi mara kwa mara lazima watu wakuwekee shaka!

Time will tell!
 

Ni kweli
Wanawake kuonekana kama ilivyo kwenye picha ni jambo la kawaida sana
 
Yes. Upo sahihi mkuu.. Lakini hata thread haipo conclusive kama umeisoma vizuri..

Watu wanahoji huo ukaribu wao kwenye events mbalimbali. Hata wewe ukiongozana na mwizi mara kwa mara lazima watu wakuwekee shaka!

Time will tell!
kweli kabisa time will tell
 
nimepata shida kufungua uzi huu lakini nikaona ngoja nipite labda naweza jua cha kuchangia
  • wadogo zetu punguzeni kwanza kupenda tendo la ndoa kuanza tendo la ndoa katika umri mdogo ni chanzo kikubwa cha kuingia mtego huu.
  • fikiria binti anaanza kutembea akiwa na darasa la nne anapofika form two kesha toa mimba zisizo pungua tatu na bado anabaki na maumivu kwa kile wanaume walichomtenda matokeo yake anakuwa malaya katika umri mdogo.
  • njia ilishapanuka na kila mwanaume anayeingia huko hayuko kumpa furaha ila raha kwa misingi ya hela yake hivyo anatengeneza mvuto fake kuwa anavutiwa na lakini hamalizi haja zake.
  • usagaji unaanza pale ambapo hakupata mwanaume aliyemfikisha kwa muda mrefu hivyo kinachofuata anaanza kujichua na mwisho anapata partner wa kuchuana naye akishazoea hili hawezi kutoka.
  • kwa ajili ya udhaifu anaousikia katika jamii kwa tendo hili anaanza kuwaingiza wengine waingie kwenye uhasi wake ili wawe wengi ni kama waumini waliohamia makanisa mengine wakijenga hoja na wengine wawafuate huko kwa manabii
  • pia uko ushamba na kuburuzwa na mambo ya mjini eti usipofanya utaonekana mshamba!
  • lakini pia wako wanaofanya kama kafara kwa biashara au shughuli wanazofanya ikiwa hili ni moja ya sharti na kuingiza wengine katika imani hii. kwa hiyo linafanywa kama sehemu ya sadaka ya kuijenga vyema madhabahu kwa biashara yao wengine wanaumia lakini wameshindwa kutoka katika mtego huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…