Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
lupita_oscar_win.jpg

Hakika ana uzuri wa asili hususani ngozi yake. Hata hivyo-mnisamehe
kama ntakuwa nimekosea-siku ya utoaji tuzo, huyu binti ngozi yake
ilionekana kama ametolewa toka kwenye matope, maana sehemu
nyingine za ngozi zilikuwa zinag'aa kuliko zingine.

Kuna wakati nlikuwa najiuliza huyu binti alipakaa mafuta ya nazi nini, mbona kama
vile alikuwa amejibandika mafuta badala ya kujipaka!

Akamsiki!

lupita-nyong.jpg
 
Na lile gauni alichemsha kwenye kuonyesha sternum!

Angefunika walau kidogo ingependeza.

Lile gauni sikulipenda hata kidogo kwa kweli sio zuri kabisa...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Lile gauni sikulipenda hata kidogo kwa kweli sio zuri kabisa...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Yaani vimbavu vilikuwa vinaonekana utadhani ni anorexic bana....

It was kinda gross, to be honest.
 
Kwa kweli ile nguo kwa juu mmmmmh!
Kifua kilikuwa nje saaana af nyama ndo vile tena!
Lakini bado anabaki kuwa ni Lupita aseeeh!
 
Alipendeza ..............,

ingawa sikuona umuhim wa ile ribbon kichwan
 
Kwa kweli ile nguo kwa juu mmmmmh!
Kifua kilikuwa nje saaana af nyama ndo vile tena!
Lakini bado anabaki kuwa ni Lupita aseeeh!

Hahahaa kumbe sipo peke yangu.

Nyama hakuna, nyonyo hakuna, sasa kwa nini unaweka kidari wazi hivyo?

Oh well.....
 
Maybe hakutegemea kama angeshinda..

acha utani alba una maana hunaweza kuvaa vibaya kwenye tamasha muhimu kama la tuzo la oscar eti kwasababu hutegemei kuwa mshindi NOTE: lupita nyongo alikuwa moja kati ya watu ambao walitegemewa kuondoka na tuzo kwasababu alikuwa mmoja wa contestant!
 
Makeup mwili mzima,!!!hata mi nilishangaa tule tumifupa katikati ya kifuaa duu nae ana style ya kupenda mwenyeweee
 
Makeup mwili mzima,!!!hata mi nilishangaa tule tumifupa katikati ya kifuaa duu nae ana style ya kupenda mwenyeweee

Lupita anatisha binamu, khaa nilimuona kwenye red carpet kajaziaje mikono, kama baunsa
 
Back
Top Bottom