Na lile gauni alichemsha kwenye kuonyesha sternum!
Angefunika walau kidogo ingependeza.
Lile gauni sikulipenda hata kidogo kwa kweli sio zuri kabisa...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Na lile gauni alichemsha kwenye kuonyesha sternum!
Angefunika walau kidogo ingependeza.
Kwa kweli ile nguo kwa juu mmmmmh!
Kifua kilikuwa nje saaana af nyama ndo vile tena!
Lakini bado anabaki kuwa ni Lupita aseeeh!
Alipendeza ..............,
ingawa sikuona umuhim wa ile ribbon kichwan
Maybe hakutegemea kama angeshinda..
Hahahaa kumbe sipo peke yangu.
Nyama hakuna, nyonyo hakuna, sasa kwa nini unaweka kidari wazi hivyo?
Oh well.....
ungemfuta umwambie au yupo humu jf by the way atabakia kama mwafrika wa kwanza kuchukua tuzo za oscar!
Makeup mwili mzima,!!!hata mi nilishangaa tule tumifupa katikati ya kifuaa duu nae ana style ya kupenda mwenyeweee
Kwani alikuwa kwenye mashindano ya Urembo??
Makeup mwili mzima,!!!hata mi nilishangaa tule tumifupa katikati ya kifuaa duu nae ana style ya kupenda mwenyeweee