Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Lupita anatisha binamu, khaa nilimuona kwenye red carpet kajaziaje mikono, kama baunsa
hoya warumi watu hawaangali hilo kaka kinachoangaliwa ni pesa kaka au humuoni gadna anavyopelelea ndoa kwa komando jide!
:thumbup:
embu weka picha zako na wewe tukuone inawezekana hata huyo lupita ana nafuu!
Ungemuazimisha lile gauni lako Jekundu Cheupe..
Aaah we nae
Unataka uone tu picha yangu lol
Na lile gauni alichemsha kwenye kuonyesha sternum!
Angefunika walau kidogo ingependeza.
Kweli binamuNdo hivyo mkuu,
Mie nilikuwa nawaza tu,watu wanavoponda uvaaji wa Lupita
Angekuwa anafanya mashindano ya mavazi au ya urembo hapo wangemponda,
Ila binadamu hakosi cha kukosoa,ndo hulka yetu espe sisi wenye rangi nyeusi
ungemfuta umwambie au yupo humu jf by the way atabakia kama mwafrika wa kwanza kuchukua tuzo za oscar!
hapo kwenye mwafrika wa kwanza umebugi kuna mtu alichukua miaka kumi nyuma anaitwa charlize theron
kwel kabsa af kama mpganaji,kifua kizitooKwa kweli ile nguo kwa juu mmmmmh!
Kifua kilikuwa nje saaana af nyama ndo vile tena!
Lakini bado anabaki kuwa ni Lupita aseeeh!
kwel kabsa af kama mpganaji,kifua kizitoo
No matter what u dress..your victory is valid! ! Pia siku zote wanawake wengi wanaofanikiwa kwenye kazi zao kwa nje wako kawaida sana na hawashoboki na muonekano wa nje...wanaohangaikia nje kimuonekano urakuta brain pia haijai hata kusoda!! Big up to all iron ladies like lupitaMbona wanawake tuna tabia ya kuwavuta wanawake wenzetu chini? Sisi ndo adui kubwa wenywe kwa wenywe. Lupita angelikuwa mwanaume, wanaume wafrika wangekuwa wakisherekea na kumsifu mwanaume mwenzao na hapangekua mjadala wa mavazi, matiti, ueusi au size wa mbo** yake.
Hakika ana uzuri wa asili hususani ngozi yake. Hata hivyo-mnisamehe
kama ntakuwa nimekosea-siku ya utoaji tuzo, huyu binti ngozi yake
ilionekana kama ametolewa toka kwenye matope, maana sehemu
nyingine za ngozi zilikuwa zinag'aa kuliko zingine.
Kuna wakati nlikuwa najiuliza huyu binti alipakaa mafuta ya nazi nini, mbona kama
vile alikuwa amejibandika mafuta badala ya kujipaka!
Akamsiki!