Lupita Nyong'o in black panther movie

Kwanza ukicheki pale walipigana haraka sana tena msafara wao ulipigwa ambush na hata baada ya mapigano kuanza walipigana haraka sana kabla ya mapigano kukoma na magaidi kutokomea somalia,kwahiyo ni kitu cha kawaida sana hasa ukizingatia polisi wa huku sio kama wa nje huko,kwahiyo pale mi naona ni kitu cha kawaida sana,na yule demu aliejifanya anauza machungwa ni waukweli balaa
 
Hehehe!! Wapi na wapi maana haviendani.... Hawa jamaa hufanya movies bila utafiti.
Ntatafuta jina la hiyo movie. Yaani nimeshindwa kabisa kukumbuka. Hapo Hell's gate napakumbuka sana tuli'rent' baiskeli tukaingia nazo ndani kwenye park ila mwenzetu mmoja akakatiza ziara yetu alipoblack out juu ya mapilsner can. Ilibidi hadi tukalipa kahongo ili tusijipate matatani. πŸ˜€ Dah, them days. Patamu sana Hell's gate ila hizo bike za rent ukikosa kuzikagua vizuri huwa baadae zinakuwa mzigo!
 
Hehe, πŸ˜€ uliona eeh? Strike Back Series kali sana. Mi niliichukulia ivo tu nikaenjoy bila kuwaza mengi.
 
The terrorists in Quantico season 2 use swahili but you can detect their fake ass accent. But the twin sisters speak swahili don't know whether they are from this parts of the world. Didn't know what to feel about the misrepresentation of swahili as a language terrorists use..
 
Man I couldn't stand Quantico even before that swahili stuff you are talking about. I watched just 4 episodes of the first season before I got fed up. Very superficial acting. Not natural at all, like a play at a high school drama club. I hate acting that looks like acting, with every actor having perfect looks! Anyone gets that?
 
Nope ile ni green screen ama blue screen tu wale hawanaga location za ukweli ila sema wanaweza chukua mazingira ya mji flani na ikaonekana ni kweli wamechezea eneo flan
 
Ila siwezi shangaa kwa Wakikuyu, mimi nimesafiri sana na kukatiza maeneo mengi ya ndani ya hizi nchi za EAC, kuna maeneo nimewakuta Wakikuyu na Wakisii nikabaki kinywa wazi.
 
Movie Inaitwa "Gorillas in the mist". Its a true story about a naturalist called Dian Fossey who saved Gorillas from going into extinction in central Africa. Ni movie fiti kwanza ni kweli kuna mahali wanabonga Kikuyu.
 
Ila siwezi shangaa kwa Wakikuyu, mimi nimesafiri sana na kukatiza maeneo mengi ya ndani ya hizi nchi za EAC, kuna maeneo nimewakuta Wakikuyu na Wakisii nikabaki kinywa wazi.
Gakii, Batunyariree! Dah ndugu zetu kutoka Nyamira na Kisii kawaida yao huwa hawatulii, wamesambaa kote kote! Hata mimi kuna sehemu nimewapata, ikabidi niwaulize bila aibu wanavo'survive' sehemu hizo. Ila hapo kwa wakikuyu, sisemi kitu. Mchwa!
 
Movie Inaitwa "Gorillas in the mist". Its a true story about a naturalist called Dian Fossey who saved Gorillas from going into extinction in central Africa. Ni movie fiti kwanza ni kweli kuna mahali wanabonga Kikuyu.
Ndo hiyo! Dah ntaanza kula double portion ya dagaa, yaani nilijaribu kukumbuka jina lenyewe hadi karibu nitokwe na kutu kwenye masikio. Shukran jombaa, CC. MK254.
 
Ndo hiyo! Dah ntaanza kula double portion ya dagaa, yaani nilijaribu kukumbuka jina lenyewe hadi karibu nitokwe na kutu kwenye masikio. Shukran jombaa, CC. MK254.
Haha welcome. Nilikuwa nakumbuka jina mist pekee. Nikagoogle mist na nikaongezea gorilla na ikakacome. Dr Google anasaidia. Anyway ni movie poa ata mimi nitaicheki tena.
 
Jimmy Kimmel show
Nani anasumbili Feb 16 for show ya kwanza kwa movie theaters world wide!!

Nani amecheki "Out of Africa" by Meryl Streep? Anaigiza maisha ya Karen Blixen aliyeishi hapa Karen Nairobi. Nasikia Karen area Nairobi is named after Karen Blixen. Ni movie poa sana
 
Haha welcome. Nilikuwa nakumbuka jina mist pekee. Nikagoogle mist na nikaongezea gorilla na ikakacome. Dr Google anasaidia. Anyway ni movie poa ata mimi nitaicheki tena.

Nani amecheki "Out of Africa" by Meryl Streep? Anaigiza maisha ya Karen Blixen aliyeishi hapa Karen Nairobi. Nasikia Karen area Nairobi is named after Karen Blixen. Ni movie poa sana
Haya basi shukran zangu pokeza kwa google kama kile kijiti cha 'relay'. πŸ™‚ Kweli Gorilla in the Mist ni movie nzuri, nice story line. Nimeiona hiyo Out of Africa ,Karen imepata jina lake kutoka kwake Karen Blixen. Out of Africa ina 'romantisize' Kenya na Afrika sana na mimi ni mtu sitambuagi masoft soft! Hehehe πŸ˜€πŸ˜€ lakini its a great movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…