Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Lupita Nyong'o Makes history By Becoming The First African To Win An Oscar!
Lupita Amondi Nyong'o made history by becoming the first African woman to win an Academy Award. The rising starlet who has already bagged 26 awards for her role in the movie, 12 years a slave, walked away with her 27th for Best Supporting Actress Oscar at the 86th Academy Awards.[sikia/QUOTE]
jamaa angu jaribu kufatilia tena mi nilishawai kusikia kuna msouth afrika alishawai kushinda tuzo hizi nae alitangazwa kuwa ni wakwanza kushinda, pia alikuwa ni mwanamke
Wakenya vichwaa juu wataringaje lol!!!!

Weka picha ya huyo msouth africa
Weka picha ya huyo msouth africa
Sio msouth bali ni mkenya
Weka picha ya huyo msouth africa
picha ya nn wewe google jina hili Charlize Theroni
Sio msouth bali ni mkenya
ni msouth bwana mmeanza kufatilia tuzo juzi nn? anaitwa charlize theron
Ni kweli huyu lupita aweza kuwa wapili au Tatu ni mafanikio mazuri ila mi naona Kama ni market strategy Sana kuliko reality ili kuboost mauzo juu na kufanya hii Oscar kuendelea kuwa popular zaidi.charlize theron alishinda mwaka 2003 na movie ya tsotsi ya SA pia iliwahi kuchukua tuzo
charlize theron alishinda mwaka 2003 na movie ya tsotsi ya SA pia iliwahi kuchukua tuzo