Hakika amevumilia kuwa na rangi yake ya asili, nampenda sana.
Ndio kavumilia maana wengi uzalendo huwashinda na kubadili rangi zao....2006'amevumilia'?
Jamaa yake he must a luckiest man alive
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Why awe 'luckiest man alive'?
sababu ya umaarufu?
alikuwa kidem cha kawaida sana juzi juzi tu wakati anaigiza Suga ..series ya MTVbase
nna hisi wapo walio hit n run kipindi hiko...
mtu kuwa maarugu hakumfanyi awe 'special'
inawezekana kuna kidume huko Nairobi hakipokei simu zake vile vile