Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mwenyewe nimependa il a 8020 wamemponda
Hahaha, bora uwe mwanaume.
wanawake mambo mengi, check huyu amevaa nyavu sijui
hao wanaponda nini au wanataka kujifanya Joan Riva kajitahd kupendeza
amependeza. Nawaza kwa sauti "angekua RIRI asingevaa hicho kigauni cha ndani"
It's a Josephine Baker act all over again.