Lupita_Nyongo ainadi our mighty Serengeti vilivyo, tutarajie mafuriko ya watalii kutoka kwenye hii campaign ya Lupita_Nyongo

Mkuu ni official kabisa wala hajaficha anajionyesha hadharani kama Diamond anavyofanya kwa Tanashe.

Lupita ni mume na Janelle ni mke [emoji13][emoji13][emoji13]
Kama Mlima na Imalaya hapa Bongo?
 
Wakenya hatuna roho mbaya kama nyie, kila siku tunawaambia hivo. Kama ni kuinadi Serengeti tutainadi tu bila tafash maanake nyie Wafrika wenzetu hata kama mna 'loho mbaya'
 
Mwanaume mzima kazi tu ni kusambaza umbeya na fake news.
Fanya kazi, labda utajiinua kimaisha ujitoe kwenye umaskini unaowaangamiza wenzako wabongolala.
Fala wewe unajua maana ya umbea?
 
Wakenya hatuna roho mbaya kama nyie, kila siku tunawaambia hivo. Kama ni kuinadi Serengeti tutainadi tu bila tafash maanake nyie Wafrika wenzetu hata kama mna 'loho mbaya'
Hahaha na sisi bila hiana hatuwezi kuwaacha mfe njaa
 
Hahaha na sisi bila hiana hatuwezi kuwaacha mfe njaa
Kesho utaskia wanakwambia wao ndio wamefanya watalii wengi kuja serengeti wakat hvi tunavoongea ndio mbuga inaongoza kwa kupokea watalii wengiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
She is he while kaka yake... he is she.

Ingefaa wote waende kupata baraka za Mungu kwa Prophet T B Joshua, mahala ambapo watu kama hao hawabaguliwi na wala hakuna kutoa zaka, sadaka wala kupanda mbegu, kama ushahidi waangalie videos kwenye www.youtube.com/scoanvideos!( they get warm reception with special God’s blessings)!
 
Ahaa haa
pole na lupango. unajua nilikumisi!!!
πŸ™ƒπŸ€£πŸ˜˜πŸ˜
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
Ban 'mrefu' sana hiyo.
Ukiendelea kuwakumbusha walishanao ban humu nitajipata tena huko
You have been banned for the following reason;
SEDUCING A TANZANIAN.😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…