Lupita_Nyongo ainadi our mighty Serengeti vilivyo, tutarajie mafuriko ya watalii kutoka kwenye hii campaign ya Lupita_Nyongo

πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
Ban 'mrefu' sana hiyo.
Ukiendelea kuwakumbusha walishanao ban humu nitajipata tena huko
You have been banned for the following reason;
SEDUCING A TANZANIAN.😎

Duuu nisiendelee kuongelea hili, nisije nami nikapewa kifinyo.
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
 
Aaah miss kibera kumbe ulikuwa lupango pole sana aise
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]
Ban 'mrefu' sana hiyo.
Ukiendelea kuwakumbusha walishanao ban humu nitajipata tena huko
You have been banned for the following reason;
SEDUCING A TANZANIAN.[emoji41]
 
Networth ya Lupita imepita $40m, nyi endeleeni kupiga kelele watu wako kazini wanakula ma dili ya promotion, endorsements, adverts, narrator, actors..etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…