Habarin wakuu
Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaaKaa hapa hapa nchini,neema inakuja na maisha yanakwenda kukaa sawa kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok..nauli sijui,ila kwa maisha yakoje ni kama hapa kwetu,karibu kila kitu kwa maana ya gharama za manunuzi,malazi na chakula havina tofauti,sema tu unapokua ugenini ktk nchi yeyote ile utajikita wakati mwingine unatumia gharama kubwa za maisha kwa kuhofia usalama wa kimazingilaHahaaaaaa
Naelewa mkuu kuna ishu ya msing nataka nikaifanye kule then ntarud mbna bongo mm kwetu kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujafika tu huko? Au bado unajishauri!!Na swala la usalama kiujumla liko poa au Kias chake maana nmekaa congo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe basi hata tips kidogo za huko Gaborone mkuu, ila usisahau picha
Nauli ya usafiri gan?Habarin wakuu
Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima apite Francis Town..akitokea border kasane anatembea mpk FT...Palapye...Mahalapye then anafika Gabs. Ka nchi katamu sana kale
Tortoise kuna hela hapo?Lazima apite Francis Town..akitokea border kasane anatembea mpk FT...Palapye...Mahalapye then anafika Gabs. Ka nchi katamu sana kale
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi nje njeLazima apite Francis Town..akitokea border kasane anatembea mpk FT...Palapye...Mahalapye then anafika Gabs. Ka nchi katamu sana kale
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo yenyewe imejaa ukimwi kinoma!Ukimwi nje nje
Kobe ni kwel kabsa nlpita hzo sehemu kutoka lusaka kwenda gaborone nlpanda zambia-botswana express ambayo nauli ake ni P450 moja kwa moja nway Bots ni kuzuri sana na raia wake wako poa sana then population ake town c kubwa kivile..DUMELALazima apite Francis Town..akitokea border kasane anatembea mpk FT...Palapye...Mahalapye then anafika Gabs. Ka nchi katamu sana kale
Sent using Jamii Forums mobile app