Uchaguzi 2020 Lusinde: Mimi nilikuwa na Lissu Bungeni, hajawahi zungumzia maendeleo ni malalamiko tu na ndiyo maana nilikuwa namuita Malalamiko FC

Kibajaji, Kigwangala na wengi wapo njiani wameitikia agizo la Bashiru.

Tatizo kubwa walilo nalo ukata wa hoja.

Tafuteni hoja kuonyesha haya kwanza:

Uhuru, haki na maendeleo.

Kama hamna hayo hata mkijinyamazia tu, you lose nothing.
Chief naomba unifahamishe uhuru gani munataka? Maana sjaona mtumwa hapa au munataka hata ukiwa jambazi wakuache tu? Kama hakuna uhuru wewe unaandika ujumbe wako hapa ukiwa morocco au uko wapi chief
 
Yaani kabisa ni huyu Kibajaji! Ambaye anaweza kuaminika na chama chake, na hata kukaa mbele ya wanahabari na kuweza kuuzungumzia mchango wa Tundu Lissu alipokuwa bungeni?

Labda ingalikuwa ni Mama Makinda ndiye ambaye alikuwa akihojiwa, pengine ningaliweza hata kusoma maudhui yaliyopo ndani ya uzi huu. Lakini kwa kuliona tu jina la Lusinde ktk mstari wa kwanza, basi nikatambua hawezi kutambua si tu hoja za Lissu, bali hata nini ambacho ni kitu muhimu kwa ajili ya kesho ya wapiga kura wake.
 
Lusinde Lusinde Lusinde.. kweli jasiri ahachi asili
Hapo uliposema uliagiza kontena 2 za .... kiukweli mimi naona kama hao jamaa zako wataendele kuleta upumbafu na ulofa fungulia lile kontena dogo la futi 20 lile la futi 40 liache kwanza utaua hakuna hasiye kujua huna mpinzani.

Na kwakukupa mwongozo ni hivi, Mh. Rais alipokataza kashifa, matusi na kejeri wewe haumo katika hili kundi ni kama huna hati miliki ambayo umepewa na Mungu yaani wewe ni kama hujawai kupiga mswaki tangia uzalewe. Mimi nakushauri kwa sababu wakati Rais anasema hakujua kama hawa malofa linaingilia huku na kutokea kule.
Sasa nakushauri kwa kuwa hawakujui, sukutua tu huo mdomo wako mchafu hata kidogo alafu utema tu kazi inaendele.
 
We STD 7 tulia dawa iwaingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…