Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Naona kuna mtu anahamu ya kujenga ofisi mpya za wilaya na ifike wakati sasa hawa washamba washamba msituletee huki wabaki huko huko tukuyu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaNaona kuna mtu anahamu ya kujenga ofisi mpya za wilaya na ifike wakati sasa hawa washamba washamba msituletee huki wabaki huko huko tukuyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akaidai TFFLeo kwenye Star TV nimemuona mkurugenzi wa jiji TEMEKE akiongea kwa ukali kuudai kodi Uwanja wa Taifa huku akitishia atasubiri siku ya mechi ya Simba na Yanga aufunge! Sikuamini kama anazijua timu hizi na mashabiki wake na nini kinaweza kutokea na kama ataweza kukizuia!
Mwakibibi utarudi Tukuyu kabla ya siku zako.
Imbombo nkafu mwanafyale.