Kipeperushi Senior Member Joined Aug 17, 2011 Posts 167 Reaction score 33 Feb 14, 2012 #1 Habari zenu wanaJF..? Napenda kujua kama kuna members wa jamvi hili ambao ni ex -students wa Lutengano Sec. School ambao walimaliza kati ya mwaka 1986 na 1989. Karibuni tujuane katika jamvi hili.
Habari zenu wanaJF..? Napenda kujua kama kuna members wa jamvi hili ambao ni ex -students wa Lutengano Sec. School ambao walimaliza kati ya mwaka 1986 na 1989. Karibuni tujuane katika jamvi hili.