Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ok.🐒Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTCF), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kokulinda Kagaruki, amesema changamoto za kiutawala na vikwazo katika ushiriki wa wananchi vilivyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 vimedhihirisha kuwa mfumo mzima wa utawala nchini unahitaji kufanyiwa marekebisho ya kina.
Amesema marekebisho ya Katiba si suala la hiari ya kisiasa tena, bali ni hitaji la dharura, akisisitiza kuwa utawala endelevu hauwezi kujengwa juu ya misingi dhaifu au iliyopitwa na wakati. Amesema mafunzo yaliyopatikana katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 yanapaswa kutumika kuandaa mchakato mpana, shirikishi na wa kitaifa wa marekebisho ya Katiba.
Kagaruki amesema Katiba mpya inaweza kuwa nyenzo muhimu katika kuhakikisha uwepo wa mahakama huru, uchaguzi wa haki na unaoaminika, usawa wa kijinsia, ulinzi wa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi au yaliyo wachache, pamoja na kulinda uhuru wa vyombo vya habari na mashirika ya kiraia.
Soma pia kuhusu Katiba Mpya
😁😁😁😁😁Uraia wake utaanza kutiliwa shaka muda si mrefu.
Kuna watanzania wanaona katiba inahitaji marekebisho. Wengine wanaona ipo sahihi. Je, sisi walala hoi tumsikilize nani??Uraia wake utaanza kutiliwa shaka muda si mrefu.
Mwananchi ndiye mwenye nguvu za kuhakikisha katiba inapatikana bila vikwazo.sasa bc kama ni hivyo, nani mwenye mamlaka, final say, au niseme wajibu wa mwisho ktk hili? ni rais, mahakama, bunge au wananchi? nani anapaswa kulisimamia hili la katiba mpya? kama kweli ni hitaji la kidharula
Uraia wake utaanza kutiliwa shaka muda si mrefu.
Ni Wananchi, ila wanasiasa wakiongozwa na mwenyekiti wetu wameuteka uamuzi wa wananchi na kujifanya wao ndio wanajua zaidi wananchi wanachotaka badala ya kuwauliza wananchi wao wanataka nini?sasa bc kama ni hivyo, nani mwenye mamlaka, final say, au niseme wajibu wa mwisho ktk hili? ni rais, mahakama, bunge au wananchi? nani anapaswa kulisimamia hili la katiba mpya? kama kweli ni hitaji la kidharula
Twende kwenye kula, kula ndio iamue wengi wapewe.Kuna watanzania wanaona katiba inahitaji marekebisho. Wengine wanaona ipo sahihi. Je, sisi walala hoi tumsikilize nani??
Hili ni sahihi bila mihemko,Wala ubishani wa vyama vyetu,ili kuepusha maana, Mfano ni zile vulugu za uchaguzi wa 2025,kuzuiwa watu wasitoke Nje,he ombaomba na watoto wa mitaani,walilindwa Vipi na na nani?Jibu hawakulindwa!Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTCF), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kokulinda Kagaruki, amesema changamoto za kiutawala na vikwazo katika ushiriki wa wananchi vilivyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 vimedhihirisha kuwa mfumo mzima wa utawala nchini unahitaji kufanyiwa marekebisho ya kina.
Amesema marekebisho ya Katiba si suala la hiari ya kisiasa tena, bali ni hitaji la dharura, akisisitiza kuwa utawala endelevu hauwezi kujengwa juu ya misingi dhaifu au iliyopitwa na wakati. Amesema mafunzo yaliyopatikana katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 yanapaswa kutumika kuandaa mchakato mpana, shirikishi na wa kitaifa wa marekebisho ya Katiba.
Kagaruki amesema Katiba mpya inaweza kuwa nyenzo muhimu katika kuhakikisha uwepo wa mahakama huru, uchaguzi wa haki na unaoaminika, usawa wa kijinsia, ulinzi wa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi au yaliyo wachache, pamoja na kulinda uhuru wa vyombo vya habari na mashirika ya kiraia.
Soma pia kuhusu Katiba Mpya
Ok Kuunga au sanifu?ok.🐒
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTCF), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kokulinda Kagaruki, amesema changamoto za kiutawala na vikwazo katika ushiriki wa wananchi vilivyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 vimedhihirisha kuwa mfumo mzima wa utawala nchini unahitaji kufanyiwa marekebisho ya kina.