Luxury Cars stolen from UK: SFO in action

Sasa mmeambiwa yuko kwenye EPA vile vile,akimalizia kifungo UK serikali ya jamhuri nayo inamfungulia mashtaka.
 
Sasa mmeambiwa yuko kwenye EPA vile vile,akimalizia kifungo UK serikali ya jamhuri nayo inamfungulia mashtaka.

Yepi na kwa kosa lipi? Hebu kasome tena ujumbe wa Mtanzania.
 

Kelly, mbona unajisahau sana dada?

Unakumbuka ulishawahi kuandika wewe mwenyewe kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/24859-i-am-scared.html yafuatayo:


-- Hukuona kama hao jamaa nao walikuwa wanatafuta opportunity yao kwa namna moja au nyingine?
-- Hukuona kama hao (Walatino) walikuwa wanatafuta tujisenti twa kutuma makwao tu kusaidia ndugu zao?
-- Huoni kama hao wanaoibiwa magari asilimia yao kubwa yaweza kuwa ni akina mama na kuwa ni "innocent creature" kama wewe tu?

-- You shared your tragedy with us, we sympathized and we were sorry for that experience. Remember, the fear that entails when someone is struck by such an experience can be a lasting one, it can go to ruin someone's life when the level of endurance is low and when help is afar.

Kuna mengi ya kusisimua na kusikitisha katika tukio lililokukuta wewe kama ulivyo lielezea. Lakini naamini pia wale wanaoibiwa magari huko Uingereza nao walipatwa au wanapatwa na adha sambamba au hata kubwa kuliko zilizo kupata wewe. Where is that caring Kelly01 that we are all compelled to believe you happen to coexist in with?? 🙁


Get married quick! you need a man in your life to scare these thugs off otherwise next time wakija yanaweza kuwa makubwa zaidi!
Theres no better lock than a man! Why sleep with a phone while there a lots of single guys out there who can protect you for free? Hao jamaa wakijua tu una kidume ndani ya nyumba hawatakusogelea!

KKN, habari ndiyo hiyo... na huko uingereza matukio hayo yanakotajwa hata huyo man asingeweza to scare off them thugs nje ya garage yake wakimchomolea chuma cha moto, sembuse dada Kelly!!

Again, kama nilivyosema hapo mwanzo mwanzo kwenye thread hii, msisitizo wangu uko kwenye matukio yenyewe badala ya huyo mhusika. Ahsanteni.
 
Mwanamme mmoja anajipigia tarumbeta, anamwambia mwanamke, kufuli salama kuliko yote ni kuwa na mwanamme. Ndio dawa, maana utaogopwa, hutasogelewa, ilhali kuna wanaume wengi walio kapera.

Mwanamme mwingine anajibu: Habari Ndio Hiyo.

Tuko mbali kweli Waafrika na mifumo dume yetu ya toka Bonde la Ufa. Tunatia huruma.
 


 
Jamaa sasa yuko kikaangoni

WAMMALIZE TU JAMANI....HUYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…