Mwl Lwaitama ameshangazwa kwanza na matumizi ya neno UGAIDI. Amesema matukio mengi yaliyotokea hayastaili kuitwa ya kigaidi kama lile la mwangosi, ulimboka na n.k.Mwl kasema matukio hayo yanatakiwa kuitwa matukio ya kinyama au ualifu.Pia Lwaitama ameshangazwa na tukio zima la Arusha na baadhi ya kauli za viongoz.Mwl amesema kwamba anashangazwa na polisi wa TZ baada ya kupambana na yule mtu aliyetupa bomu katika mkutano wa cdm wao wakaanza kupambana wananchi waliokua wakitupa mawe.Pia ameonyesha kushangazwa na kauli ya serikal bungeni iliyosema "Polisi walikua upande fulan na mtupa bomu alikua upande fulani" Mwl akahoj kwa iyo siku ya Mkutano kulikua na polisi waliokaa upande mmoja tu, kwaiyo polisi wengine wasio kuwa na sale,askari kanzu, usalama wa taifa, kwanini hawakuzunguka uwanja wote. Ameshangazwa pia na kauli ya kusema "watu walichochewa wakajenga chuki kwa polisi" kwaiyo akasema mkuto toka uanze viongozi wa cdm walikua wanawajaza chuki wananchi zidi ya polisi. source HOJA YA MWALIMU LWAITAMA