Kwa akili yako wasomi wapo UDSM pekee?Mbona nawe ueleweki?Unajua mawatu yanakionea wivu Chadema, mimi sio mwanachama wa Chadema walasiwapendi ila ukweli ninaouona na ninaouamini ni huu hapa, Chama chochote kinachokubaliwa na wasomi ndo chama cha ukweli na kinachoweza kuleta maendeleo...
Udsm zaidi ya asilimia 90 wanaikubari Chadema kwa hiyo ukiona msomi anafanya hivyo inabidi usome nyakati.
Binafsi nakionea wivu chadema nimependa kusema kweli
Unajua mawatu yanakionea wivu Chadema, mimi sio mwanachama wa Chadema walasiwapendi ila ukweli ninaouona na ninaouamini ni huu hapa, Chama chochote kinachokubaliwa na wasomi ndo chama cha ukweli na kinachoweza kuleta maendeleo...
Udsm zaidi ya asilimia 90 wanaikubari Chadema kwa hiyo ukiona msomi anafanya hivyo inabidi usome nyakati.
Binafsi nakionea wivu chadema nimependa kusema kweli
Mwaka 95 asilimia zaidi ya wasomi wake walikuwa wakimuamini Mrema...... Mrema sasa yuko wapi?
Haya mambo ya wasomi ndo yanatuangusha sasa.
**** msomi kama Chenge na Marehemu Balali?
Nilisema kuwa huyu jamaa alikula feza ya kampeni ,inaonyesha ni kweli kabisa ,aliwakosesha posho mawakala na kusababisha jamaa kuingia mitini ,fedha fedheha.
Ila ndio siasa za Bongo kuna habari kuwa Slaa nae anatafuna feza ila hakuna wa kumfunga kengele.
Huyu mhaya nae....
Huyu mhaya nae....
Kwa msingi huo sisim na upinzani hauna tofauti.labda wana JF tuanzishe chama chetu cha siasa .ni sisi tuu tunafumilia maoni tofauti ya kila mwanachama.
Hiyo habari ya Slaa si mpya inajulikana lakini si peke na boss wake naye yumo, ngoma droo!!!!
Ikiwa CCM wataamua kumpangia ushindi na kuwagaia Chadema Mbunge basi atashinda ,nataka uelewe tu matokeo ya uchaguzi huwa yanapangwa na CCM na serikali yake na vyombo vyake na si matokeo halali ya wapiga kura ,kwa maana hiyo napenda ufahamu washindi wa viti vya ubunge kwa zile sehemu ambazo wapiga kura hawako tayari kupambana hata ikibidi kukatana vichwa katika kulinda matokeo basi matokeo hayo na ushindi huo huwa ni wa kupangwa tu.Amekuja Chadema, anaweza kushinda ubunge huko Bukoba na pia hata harakati zake kuwa na mwamko sana kuliko alivyokuwa CUF