Kwani anayefuta mashitaka ni wakili au hakimu? Hivi mtu anahitaji kuwa na shahada ya sheria kufahamu kwamba mashitaka yalikolezwa chumvi?! Wewe ushawahi kusikia magaidi wanateka mtu?
Kuna hali ya sintofahamu juu ya WILFRED LWAKATARE kufutiwa mashtaka ya UGAIDI huku wengi wakiamini kuwa maamuzi hayo ya mahakama yametokana na ukweli kwamba suala hilo lilitawala mijadala ya bunge linaloendelea DODOMA na kwa maana hiyo Mahakama haikuwa na namna nyingine hasa ukizingatia kuwa mmoja wa mawakili wa upande wa utetezi ni alikuwa Mbunge.
Mytake:kama maoni haya ya watu ni ya kweli, basi ni dhahiri kuwa sasa wananchi watakosa mahali pa kupatia haki zao.napendekeza kwenye Katiba mpya kiwepo kipengele cha kutomruhusu mbunge kuwa wakili katika kesi zenye maslahi kwa taifa.
Mahakama haikuwa na namna nyingine hasa ukizingatia kuwa mmoja wa mawakili wa upande wa utetezi ni alikuwa Mbunge.
Mlimfanyia drLamwai vitimbi akatoka udsm kama lecturer na mwana chadema akaja ccm mkamtumia kama toilet paper,sasa mnakuja na hili la mbunge asiwe wakili
Magaidi waliopo duniani kwasasa wote dini yao inaeleweka, hakuna gaidi Mkatoriki, watu wasipotoshe maana. Lwakatere kasingiziwa.
mkuu hapa uwezo wako wa fikra ndo umeishia hapo.sasa jamii imejifunza nini kwa hii post yako؛Hoja yako ni dhaif na imekaa kimalipo Lumumba.