Elections 2010 Lwakatare kura hazikutosha

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Kutoka Bkb Mjini,bwana Kagasheki amemshinda kwa taabu,mbunge wa Chadema,Wilfred Lwakatare.Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.
 
Ccm wameshinda kata 10,chadema 2,cuf 2

source bongo radio
 
data plzz pia pole Lwakatare aluta continua tuko pamoja
 
Mayenga acha uzushi, ubunge kagera watatangaza saa nane,acha kuchakachua mpaka mawakala wasaini. MATOKEO KWA BUKOBA MJINI BADO.
 
Pole sana Lwakatare, nilikuwa nategemea sana huyu jamaa ashinde. Kumetokea nini huko Bukoba mjini?
 
Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.

last time Lwakatare alijichukulia sheria mkononi ni vyema sasa akaamini ya kuwa asiyekubali kushindwa siyo mshindani...........................
 
Bukoba wamelala...lakini watapata rais mpya wapende wasipende!
 
Du, Bongo radio anyway good news
 
Walioichagua sisiemu tusiwatusi maana hizo si kura zao bali za tume ya uchaguzi chini ya uratibu wa wasimamizi wa kura.
 
Matokeo rasmi ya Bukoba Mjini Ubunge saa nane mchana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…