Katika mahakama yeyote duniani moja kati ya haki ya mtuhumiwa(LWAKATARE IN THIS CASE) NI RIGHT TO CONFRONT
AND CROSS EXAMINING WITNESSES ALSO APPLIES TO PHYSICAL EVIDENCE IN THIS CASE NI KAMERA. SASA TATIZO LINAKUJA KTK CROSS EXAMINING VALIDITY AND MEANING AMBAYO ITAMUHUSU ALIYEKUWA ANACHUKUA VIDEO HII AMBAYE IN THIS CASE HAJULIKANI. wanaopashwa kuojiwa kama mashahidi muhimu ni watu wawili tu kamera kama ingekuwa inaongea na aliyekuwa anachukua mkanda huu ambao walikuwepo eneo la tukio tu wote wawili hawapo isipokuwa Polisi na mkanda wao ambao kisheria ni kama wameokota kitu jalalani na kuleta mahakamani kama ushahidi.
Polisi walichotakiwa kukifanya kama wangekuwa makini ktk kuifanya kazi yao kitaalamu kitu cha kwanza ilikuwa ni kumtafuta aliyerecord video hii ili kujiridhisha na authenticity ya video(uhalali wake) kabla ya kukimbilia kumkamata
mtuhumiwa na swali jingine gumu ambalo polisi walikataa kujiuliza au walijiuliza na kulipuuza kwa sababu ya ushabiki
wao wa kisiasa au kwa kusukumwa na wanasiasa ni kwanini mkanda umekwenda online na siyo kwao, huyo aliyechukua
video alikuwa anaogopa nini kuleta video hii polisi?? Wanasheria wa Lwakatare wana kasi rahisi sana nayo ni kumuomba jaji haki yao
ya kuwaoji witnesses ambao ni mchukua kamera na kamera yenyewe ili kujua uwezo wake wa kufanya kazi vitu ambavyo haviko kwahiyo jaji ataitupilia mbali kesi yao kwa kushindwa kuleta mahakamani prime witnesses.