Lwakatare: kwanini polisi wanaweweseka na ugumu wa kesi yake kisheria?

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
2,376
Reaction score
1,508
Katika mahakama yeyote duniani moja kati ya haki ya mtuhumiwa(LWAKATARE IN THIS CASE) NI RIGHT TO CONFRONT
AND CROSS EXAMINING WITNESSES ALSO APPLIES TO PHYSICAL EVIDENCE IN THIS CASE NI KAMERA. SASA TATIZO LINAKUJA KTK CROSS EXAMINING VALIDITY AND MEANING AMBAYO ITAMUHUSU ALIYEKUWA ANACHUKUA VIDEO HII AMBAYE IN THIS CASE HAJULIKANI. wanaopashwa kuojiwa kama mashahidi muhimu ni watu wawili tu kamera kama ingekuwa inaongea na aliyekuwa anachukua mkanda huu ambao walikuwepo eneo la tukio tu wote wawili hawapo isipokuwa Polisi na mkanda wao ambao kisheria ni kama wameokota kitu jalalani na kuleta mahakamani kama ushahidi.

Polisi walichotakiwa kukifanya kama wangekuwa makini ktk kuifanya kazi yao kitaalamu kitu cha kwanza ilikuwa ni kumtafuta aliyerecord video hii ili kujiridhisha na authenticity ya video(uhalali wake) kabla ya kukimbilia kumkamata
mtuhumiwa na swali jingine gumu ambalo polisi walikataa kujiuliza au walijiuliza na kulipuuza kwa sababu ya ushabiki
wao wa kisiasa au kwa kusukumwa na wanasiasa ni kwanini mkanda umekwenda online na siyo kwao, huyo aliyechukua
video alikuwa anaogopa nini kuleta video hii polisi?? Wanasheria wa Lwakatare wana kasi rahisi sana nayo ni kumuomba jaji haki yao
ya kuwaoji witnesses ambao ni mchukua kamera na kamera yenyewe ili kujua uwezo wake wa kufanya kazi vitu ambavyo haviko kwahiyo jaji ataitupilia mbali kesi yao kwa kushindwa kuleta mahakamani prime witnesses.
 
Umeandika kana kwamba Jeshi la Polisi la kwetu linao watu hasa kwenye nyazaifa za juu wenye uwezo wa kufikiri, hapo ndipo ulipokosea,wamafikiri wametafakari hadi vichwa vikawa vinawauma wakafikia hitimisho la kumkamata Lwakatare then wampeleke mahakamani,atashitakiwa kwa kosa gani wao sio issue watajua mbele ya safari. Bravo mwema et al
 

itabidi wao polisi ndio wawe waendesha mashitaka na pia wawe mashahidi kwa maana waji cross examine wao wenyewe ni ajabu na kweli
 
Issue hapa siyo kesi! Lengo lao kuu hapa ni kuiua Chadema au kuivunja nguvu hawana lolote hao majambazi wakubwa hao! Huku mbozi sijapata mbolea kisa ufisadi wao tu! Hapa watu tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu! Tumepata mkombozi wetu CHADEMA hao majambazi yanatuvuruga tu! Haki Mungu kama Mungu kapanga mtang'oka tu Mungu hajapanga tuishii maisha haya milele mwisho wake ni 2015 mkiendelea na movies zenu hizi za kutunga tutawatoa kabla ya mwaka huo Mungu katupa mamlaka hayo!! Mnakela sana Ma ccm I hate uuuu!
 

Kwa kuwa jambo lenye ni la hira, hayo yote hawawezi fanya kwa sababu lipo jambo mahususi walilokusudia hata hivyo nadhani wameshajua wame-fail!
 
kwa uelewa wangu mdogo ilikuwa ni kuchukua video halisi (ile si imelishwa maneno) ambayo naamini rwakatale na Chadema ( au ) wanayo kama kweli ile video Alikuwa anarekodiwa hali ya kuwa anajua halafu wafananishe na ile ya ktk youtube.Njia nyingine Chadema wawatafute wataalamu wa lugha za ishara wathibitishe kama ile video ni halisi au la.
 
Polisi wa Tanzania wanafanya kazi kwa kufuata maelekezo na hakuna weledi wowote kwenye utendaji wa kazi ndani ya hilo genge. Usije ukashangaa kuambiwa akina Nape na wenzake ndiyo wametoa amri/maelekezo ya kumkamata.
 
"...Kuanzia sasa muanze kujibu hoja za wapinzani kama Mwigulu, mambo ya kutegemea POLISI sasa basi...." J Kikwete mkutano mkuu wa CCM 2012 Dodoma!
 
tatizo la polisi wetu ni kwamba uwezo wao wa kujua lipi walifanye kwa wakati upi na kwanini wafanye ni kama haupo pamoja na udhaifu mkubwa sana kwenye mtiririko wa amri( chain of command) nani anamwagiza nani kwa mamlaka ipi aliyonayo na kwa maslahi gani imefanya polisi iwe zaidi ya janga kwa kufanya kazi kwa kubahatisha.
 
uwezo wa kielimu wa polisi wetu ni sawa na madiwani wa tanzania, hizi kada mbili ziko na cream ya wajinga wa nchi hii.

hakuna police wala diwani tanzania anaweza kupata alama tano kwenye simple intellectual aptitude test.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…