Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 May 9, 2021 #1 Nakumbuka humu huyu jamaa alileta habari yake ya kumiliki Mali kwa njia za kishirikina, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, halafu akahamia Telegram huko. Sasa leo katika pitapita zangu nasikiliza akithimulia huku Radio Free Africa
Nakumbuka humu huyu jamaa alileta habari yake ya kumiliki Mali kwa njia za kishirikina, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, halafu akahamia Telegram huko. Sasa leo katika pitapita zangu nasikiliza akithimulia huku Radio Free Africa