Lwandamila OUT Plujin in

Nilijua mtakuja na hii single ya mbovu kocha kayaleta haya..! Bila mbeleko nyie ni walevi tuuhh (mateja). Ukisukuma tu kule chini tiiii...
 
Hakuna cha kocha wala nini...wachezaji watachezaje bila ya mishahara......niyonzima kadai walikuwa hawana motivation... Tuache kutegemea wafadhili tuongeze wanachama wafike 1m kila mwanachama alipe ada ya uanachama 5000 kwa mwaka inapatikana 5 bilioni... Wachezaji watafia uwanjani kuleta ushindi... Miungu watu watasepa...kweli timu inaenda kukaa kigamboni...
 
Hatuna imani kabisa na huyu lwandamina na tulimpinga toka siku ya kwanza kwakutoona sababu zakumtoa van.
Lwandamina Kama hapendi kuona maumivu ya mashabiki wa yanga nibora akaondoka atuachie timu yetu
 
Tatizo siyo Lwadamina tatizo Yanga wachezaji wazee sana
 
Kafanya nini hiyo plojim wenu.wenuNaona aliishiwa pumzi.kwa waarabu.aasa Kiboko yao.ni lwandamina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…