Lwandamina aachia ngazi ZESCO

Lwandamina aachia ngazi ZESCO

Mbona kama naskia harufu ya Van Pluijm kukosa kazi tena.
Ushakuwa kama mchezo wa kidali poo huu sasa.
 
Anaandaa njia ya kuja Yanga naona...ila Babu Hans namkubali
 
Alipata fursa ya kutuletea kombe la Afrika, akashindwa. Ni zamu ya kocha mwingine kufanya hivyo. Yanga haiwezi kuridhika na ubingwa wa vpl tu. Ni lazima kupanda ngazi zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom