Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Nov 7, 2016 #1 Kocha Lwandamina ameachia ngazi rasmi kwenye club ya ZESCO ili aweze kufanya shughuli zake binafsi http://www.theindependentobserver.org/lwandamina-has-resigned-as-zesco-head-coach/
Kocha Lwandamina ameachia ngazi rasmi kwenye club ya ZESCO ili aweze kufanya shughuli zake binafsi http://www.theindependentobserver.org/lwandamina-has-resigned-as-zesco-head-coach/
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 454 Nov 7, 2016 #2 Safi sana amesubutu
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Nov 7, 2016 #3 Mbona kama naskia harufu ya Van Pluijm kukosa kazi tena. Ushakuwa kama mchezo wa kidali poo huu sasa.
Mbona kama naskia harufu ya Van Pluijm kukosa kazi tena. Ushakuwa kama mchezo wa kidali poo huu sasa.
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Nov 7, 2016 Thread starter #4 Iceman 3D said: Mbona kama naskia harufu ya Van Pluijm kukosa kazi tena. Ushakuwa kama mchezo wa kidali poo huu sasa. Click to expand... Ni vyema Pluijm akubali kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Iceman 3D said: Mbona kama naskia harufu ya Van Pluijm kukosa kazi tena. Ushakuwa kama mchezo wa kidali poo huu sasa. Click to expand... Ni vyema Pluijm akubali kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,094 Nov 7, 2016 #5 Sibonike said: Ni vyema Pluijm akubali kuwa mkurugenzi wa ufundi. Click to expand... Jambo ambalo sidhani kama analitaka Lakini lingekuwa poa sana
Sibonike said: Ni vyema Pluijm akubali kuwa mkurugenzi wa ufundi. Click to expand... Jambo ambalo sidhani kama analitaka Lakini lingekuwa poa sana
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,543 Nov 7, 2016 #6 Anaandaa njia ya kuja Yanga naona...ila Babu Hans namkubali
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Nov 7, 2016 #7 logframe said: Anaandaa njia ya kuja Yanga naona...ila Babu Hans namkubali Click to expand...
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 863 Reaction score 299 Nov 8, 2016 #8 Alipata fursa ya kutuletea kombe la Afrika, akashindwa. Ni zamu ya kocha mwingine kufanya hivyo. Yanga haiwezi kuridhika na ubingwa wa vpl tu. Ni lazima kupanda ngazi zaidi ya hapo.
Alipata fursa ya kutuletea kombe la Afrika, akashindwa. Ni zamu ya kocha mwingine kufanya hivyo. Yanga haiwezi kuridhika na ubingwa wa vpl tu. Ni lazima kupanda ngazi zaidi ya hapo.