Legelege ni fragile in English means not strong or sturdy, delicate and vulnerable.... Lwandamina ni mkombozi wa soka letu Miaka yote nilikuwa najiuliza kwa nini tunafungwa kila kukicha, kocha huyu kaja na mwarobaini. Wachezaji wetu ni legelege .hawachezi kwa nguvu inayotakiwa hata mashuti ni hafifu sana. Pata picha mtu kama Ajib angekuwa na ukakamavu zaidi Tanzania angekuwa anafanya nini (mfano tu) Makocha wengi wa kigeni ni njaa kali wanashindwa kusema mapungufu yetu kwa kuhofia kufukuzwa... Big up Lwandamina