D dr chris Member Joined Sep 23, 2011 Posts 76 Reaction score 12 Mar 28, 2012 #1 Naomba munisaidie mwanangu amechaguliwa shule hiyo f 5 naomba kujuwa naweza kufikaje kutokea mbeya? Wasifu wa shule na jambo lolote kuhusu shule hiyo amechaguliwa pcm nawasilisha
Naomba munisaidie mwanangu amechaguliwa shule hiyo f 5 naomba kujuwa naweza kufikaje kutokea mbeya? Wasifu wa shule na jambo lolote kuhusu shule hiyo amechaguliwa pcm nawasilisha