Lwanini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?

Lwanini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Nauliza hivi,kwa nini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?

Mfano mtu kakopa halafu anafanya sherehe za hapa na pale,vibesidei mara vipaimara..kutoa mwali sijui,maulidi!.Alimradi kujaza watu kwake tu eti kuna sherehe.

Mbona matajiri huwa hawana sana hizo?
Ni kupunguza stress za maisha,au kuwa na uelewa mdogo wa masuala ya uchumi na bajeti!

Unakopaje pesa kufanya harusi wakati banda unaloishi linatishia amani!
Msaada wenu waungwana.
 
Mada hii ni nzuri sana maana ni fundisho zuri sana kwa watu wa sampuli hizo. Kwa sababu ya kwanza hadi masikini huyo wa akili na kiuchumi kufikia mkataa wa kuwaza kujaza wingi wa watu kwa vijisenti vya mkopo ni ili aweze kujitafutia umaharufu ambao baadae kwake ni majuto na wingi wa huzuni. Kingine ni hili swala la unywaji na wingi wa makelele bar, ukiangalia idadi kubwa ya watu wanaofanya mambo hayo ni kizazi hikihiki cha umaskini wa akili na uchumi. Hebu elimikeni ninyi watu wa namna hizo maana huwa mnatukera ni vile na sisi ni wastaarabu hatuhitaji kushiriki umaskini wenu wa akili na uchumi.

Sent by Nokia ya torch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya kila siku ya matajir ni sawa na sherehe tu bt sisi akina pangu pakavu ni lazima uiandae sherehe. Yani kama jinsi tunavyotofautiana kipato vivyo hivyo tutatifautiana matumizi, we will never be the same.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan kuna formular yyt ya matumizi ya pesa? Deni la kwake, sherehe yake na marejesho ni yake pia.
Don't take lyf so serious u won't get out of it alive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakwambia huna familia.

Maisha hayana formular, dunia yote hatuwezi kuwa sawa kimitazamo na kimawazo na ndicho kinachofanya dunia inaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri wanafanya sana au kwasababu wanafanyia ndani ya fensi kimyakimya na huwezi kualikwa ndio mana unawakingia kufua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada hii ni nzuri sana maana ni fundisho zuri sana kwa watu wa sampuli hizo. Kwa sababu ya kwanza hadi masikini huyo wa akili na kiuchumi kufikia mkataa wa kuwaza kujaza wingi wa watu kwa vijisenti vya mkopo ni ili aweze kujitafutia umaharufu ambao baadae kwake ni majuto na wingi wa huzuni. Kingine ni hili swala la unywaji na wingi wa makelele bar, ukiangalia idadi kubwa ya watu wanaofanya mambo hayo ni kizazi hikihiki cha umaskini wa akili na uchumi. Hebu elimikeni ninyi watu wa namna hizo maana huwa mnatukera ni vile na sisi ni wastaarabu hatuhitaji kushiriki umaskini wenu wa akili na uchumi.

Sent by Nokia ya torch.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachokatisha tamaa hawaelimishiki mkuu.May be wanajaribu tu kuonesha watu kuwa na wao wako hai.ila ukicheki bajeti za kip...vu walizonazo unawahurumia sana,halafu wakiishiwa wakija kukuomba chumvi unabaki una sikitika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mniwie radhi wakina Greener!!!nimeuliza tu,msikwazike kihiiivyo.!ila sasa mjifunze na kuzimudu dhiki zenu wakuu,tunajua mko huru kufa maskini huku mnacheka..[emoji16][emoji16]mie nimeuliza tu.na sikumtaja mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom