ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mada hii ni nzuri sana maana ni fundisho zuri sana kwa watu wa sampuli hizo. Kwa sababu ya kwanza hadi masikini huyo wa akili na kiuchumi kufikia mkataa wa kuwaza kujaza wingi wa watu kwa vijisenti vya mkopo ni ili aweze kujitafutia umaharufu ambao baadae kwake ni majuto na wingi wa huzuni. Kingine ni hili swala la unywaji na wingi wa makelele bar, ukiangalia idadi kubwa ya watu wanaofanya mambo hayo ni kizazi hikihiki cha umaskini wa akili na uchumi. Hebu elimikeni ninyi watu wa namna hizo maana huwa mnatukera ni vile na sisi ni wastaarabu hatuhitaji kushiriki umaskini wenu wa akili na uchumi.Nauliza hivi,kwa nini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?
Mfano mtu kakopa halafu anafanya sherehe za hapa na pale,vibesidei mara vipaimara..kutoa mwali sijui,maulidi!.Alimradi kujaza watu kwake tu eti kuna sherehe.
Mbona matajiri huwa hawana sana hizo?
Ni kupunguza stress za maisha,au kuwa na uelewa mdogo wa masuala ya uchumi na bajeti!
Unakopaje pesa kufanya harusi wakati banda unaloishi linatishia amani!
Msaada wenu waungwana.
Atakwambia huna familia.Kwan kuna formular yyt ya matumizi ya pesa? Deni la kwake, sherehe yake na marejesho ni yake pia.
Don't take lyf so serious u won't get out of it alive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi kitu watu najuaga wakifikisha miaka 50 hivi ndo wanastuka ayaaaaaaaaMaisha ni mafupi sana fanya kinachokupa furaha
Watu wanataka kila wanachoona wao sahihi kila mtu aone hivyohivyo, bt hakuna dunia ya hivyo.Atakwambia huna familia.
Maisha hayana formular, dunia yote hatuwezi kuwa sawa kimitazamo na kimawazo na ndicho kinachofanya dunia inaenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wastuke wakati hawana uwezo wakujipa furaha.Hi kitu watu najuaga wakifikisha miaka 50 hivi ndo wanastuka ayaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
agata edward upo sahihi,njoo basi tufurahie maisha.Maisha ni mafupi sana fanya kinachokupa furaha
Kinachokatisha tamaa hawaelimishiki mkuu.May be wanajaribu tu kuonesha watu kuwa na wao wako hai.ila ukicheki bajeti za kip...vu walizonazo unawahurumia sana,halafu wakiishiwa wakija kukuomba chumvi unabaki una sikitika tu.Mada hii ni nzuri sana maana ni fundisho zuri sana kwa watu wa sampuli hizo. Kwa sababu ya kwanza hadi masikini huyo wa akili na kiuchumi kufikia mkataa wa kuwaza kujaza wingi wa watu kwa vijisenti vya mkopo ni ili aweze kujitafutia umaharufu ambao baadae kwake ni majuto na wingi wa huzuni. Kingine ni hili swala la unywaji na wingi wa makelele bar, ukiangalia idadi kubwa ya watu wanaofanya mambo hayo ni kizazi hikihiki cha umaskini wa akili na uchumi. Hebu elimikeni ninyi watu wa namna hizo maana huwa mnatukera ni vile na sisi ni wastaarabu hatuhitaji kushiriki umaskini wenu wa akili na uchumi.
Sent by Nokia ya torch.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mja wa kupata huanza mapema mkuu.Hi kitu watu najuaga wakifikisha miaka 50 hivi ndo wanastuka ayaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Kaka yangu kamaliza 250,000,000 ndani YA miezi 14....hapa Kanitumia SMS nimsaidie elfu tano nimemblacklist Pumbafuuuuuuu zakeMaisha ni mafupi sana fanya kinachokupa furaha
Huyo siyo jembe ni nyundo sasa![emoji16][emoji16]Kuna Kaka yangu kamaliza 250,000,000 ndani YA miezi 14....hapa Kanitumia SMS nimsaidie elfu tano nimemblacklist Pumbafuuuuuuu zake