Lyamungo Secondary 2001

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Makamanda waliomaliza O,level 2001 Lyamungo Secondary tuwasiliane.Ni matumaini yangu kuwa wote wapo CDM.
 
duh,ipo tanganyika hiyo au zanzibar?
 
unasumbua modi wewe bwana mdogo. Weka jukwaa la Elimu kule.
 
Makamanda waliomaliza O,level 2001 Lyamungo Secondary tuwasiliane.Ni matumaini yangu kuwa wote wapo CDM.
Naikumbuka Lyamungo kwa uchakachuaji wa mithihani miaka ya 95...,hadi terminal na anual zilikuwa zinachakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…