Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Hao Wachaga ni opportunists, Mrema alipokuwa maarufu mwaka 1995 wote walikimbilia kwake na kuitema CCM. Sasa wanaona amefulia wanamkimbia kama ukoma.Chadema=chama cha wachagga
mrema naye mchagga..
Sasa vita vya nini nyie wanandugu?
Acha fikra potofu wewe!! kwa hiyo waliompa ubunge Zitto kigoma ni wachagga? Dr. slaa karatu? Tarime?Hao Wachaga ni opportunists, Mrema alipokuwa maarufu mwaka 1995 wote walikimbilia kwake na kuitema CCM. Sasa wanaona amefulia wanamkimbia kama ukoma.
Baada ya kuona CHADEMA inakuja juu wote wamekimbilia huko, ikifulia watarudi CCM haraka kuwahi ulaji.
Hawana msimamao hao, wanafuata ulaji tu.
akili fupi daima hupenda kujadili na kuunga mkono upuuzi na tetesi ambazo hazina mashiko.Hao Wachaga ni opportunists, Mrema alipokuwa maarufu mwaka 1995 wote walikimbilia kwake na kuitema CCM. Sasa wanaona amefulia wanamkimbia kama ukoma.
Baada ya kuona CHADEMA inakuja juu wote wamekimbilia huko, ikifulia watarudi CCM haraka kuwahi ulaji.
Hawana msimamao hao, wanafuata ulaji tu.
sijua hata kama hodi alipiga huyu!!akili fupi daima hupenda kujadili na kuunga mkono upuuzi na tetesi ambazo hazina mashiko.
Join Date: Fri Mar 2010
Posts: 6
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Akili fupi pia hupenda kuwajadili wenye akili fupi. Werevu wamesoma na kudharau, wenye akili fupi wamekimbilia kwenye mipasho.akili fupi daima hupenda kujadili na kuunga mkono upuuzi na tetesi ambazo hazina mashiko.
CHADEMA kwa matusi na propaganda mmezidi; sijui mkipata madaraka itakuwaje?
Huyo Mrema japo ana record nzuri ya utendaji na ndio maana kuna Watanzania tutaendelea kumwunga mkono.
Mnapoteza muda bure kupambana na Mrema ambaye atashinda Vunjo mtake msitake. Pelekeni mapambano yenu kwa hao mafisadi CCM na sio kuamua kumchafua Mrema kwasababu tu hakubaliani na nyie CHADEMA.
Ngongo,Heshima kwako Muheza2007,
Nipojiunga na JF mwanzoni nilidhani inamilikiwa na CHADEMA ambao wako hapo kutetea jambo lolote hata kama halina mantiki,napata faraja watu kama wewe kutambua mapema hila na ghiliba za baadhi ya wachangiaji kutaka kuifanya JF ipo kwaaajili ya kutetea propaganda za CHADEMA.
leta analysis za kisomi kwanini CHADEMA ndio wanaomshambulia Mrema, A.L NIJUACHO NA AMBACHO NI REALITY Mrema si tishio kwa Mpinzani yoyote, ni mtu ambae jamii yoote kwa ujumla imeelewa rangi zake halisi........Akili fupi pia hupenda kuwajadili wenye akili fupi. Werevu wamesoma na kudharau, wenye akili fupi wamekimbilia kwenye mipasho.
Mkuu,leta analysis za kisomi kwanini CHADEMA ndio wanaomshambulia Mrema, A.L NIJUACHO NA AMBACHO NI REALITY Mrema si tishio kwa Mpinzani yoyote, ni mtu ambae jamii yoote kwa ujumla imeelewa rangi zake halisi........
labda anabifu na Mzee Sitta.
CHADEMA walimkataa Mrema akiwa juu baada ya kutoka CCM, ITAKUWAJE LEO WAANZE KUINGIA NAE VITANE.
watu wenye mind duni huyaangalia haya mambo kwa fikra fupi vivyo hivyo
Mkuu,
Naona umegundua makosa yako ya mwanzoni na sasa kuamua kujadili issue. Hapo tunaweza kujadiliana. Mimi nilikuwa nawapima CHADEMA kwa kuwarushia kijembe kama wanavyofanya kwa CCM ili nione je wataepuka matusi?
Sikukosea maana kweli mkakimbilia kwenye matusi na kuniita nina akili fupi. Hapo research yangu imekamilika.
Vipi CCM wote ni mafisadi?
CHADEMA kwa matusi na propaganda mmezidi; sijui mkipata madaraka itakuwaje?
Huyo Mrema japo ana record nzuri ya utendaji na ndio maana kuna Watanzania tutaendelea kumwunga mkono.
Mnapoteza muda bure kupambana na Mrema ambaye atashinda Vunjo mtake msitake. Pelekeni mapambano yenu kwa hao mafisadi CCM na sio kuamua kumchafua Mrema kwasababu tu hakubaliani na nyie CHADEMA.
Acha fikra potofu wewe!! kwa hiyo waliompa ubunge Zitto kigoma ni wachagga? Dr. slaa karatu? Tarime?