Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI nacho kikamshinda akahamia TLP nako nahisi kutamshinda na kote huko yeye ni mwenyekiti kwa ushauri wangu apumzike au mnasemaje wanajamii.

Hivi jamani kuliwahi kuwa na chama kinaitwa NCCR? Mimi sijawahi kusikia chama chenye jina hilo, hata mwanzilishi wake sijawahi kumsikia pia. Nijuzeni