Lymphic node swells

Lymphic node swells

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
kuna kaugonjwa kameingia dar cha watu kuvimba lymph ktk shingo,chini ya sikio si kwa watoto wala vijana wala watu wazima utawakuta wamevimba,je tatizo hili kwa nini lizuke zaidi wakati huu,je husababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa au unstable weather conditions au nini?
 
Acha uongo kiongozi! plz aje mwenye fani! but it's a bacteria infections
 
lymph node swelling inaweza sababishwa na mambo mengi wakuu.
inaweza ikawa parasitic infection mf. african trypanosomiasis ambayo hiyo condition tunaitwa winter bottoms sign.

au yaweza ikawa ni bacteria infection, trauma au cancer.

kwahiyo its a range of diseases inaweza sababisha hiyo condition, jibu sahihi utapata ukifanyiwa vipimo hospitalini.
 
Pia hutokea sana kwa watu wenye VVU. Sababu hasa sijui!
 
hv hapa JF hakuna doctor kweli wa kushauri kuhusu hili tatizo,maana sasa hv limekua sugu mno na tukienda mahospitalini wanasema ni cancer,HIV au leukemia....
 
Back
Top Bottom