kuna kaugonjwa kameingia dar cha watu kuvimba lymph ktk shingo,chini ya sikio si kwa watoto wala vijana wala watu wazima utawakuta wamevimba,je tatizo hili kwa nini lizuke zaidi wakati huu,je husababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa au unstable weather conditions au nini?
lymph node swelling inaweza sababishwa na mambo mengi wakuu.
inaweza ikawa parasitic infection mf. african trypanosomiasis ambayo hiyo condition tunaitwa winter bottoms sign.
au yaweza ikawa ni bacteria infection, trauma au cancer.
kwahiyo its a range of diseases inaweza sababisha hiyo condition, jibu sahihi utapata ukifanyiwa vipimo hospitalini.
hv hapa JF hakuna doctor kweli wa kushauri kuhusu hili tatizo,maana sasa hv limekua sugu mno na tukienda mahospitalini wanasema ni cancer,HIV au leukemia....