Lyrics za wimbo wa 'Huu Mwaka' wa Dayoo na Rayvanny

Lyrics za wimbo wa 'Huu Mwaka' wa Dayoo na Rayvanny

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake huu mwaka mtaniita boss

Rayvanny
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake mtaniita boss

Huu mwaka ee wa faida sio loss tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi

Sisi Mungu anatulinda japo maadui wengi wanatuwinda

Vita nyingi ila tutashinda tushanyanyasika huu mwaka mwendo wa kuvimba

Huu mwaka nanunua gari niwape lift (ameen)

Huu mwaka namaliza nyumba yangu kibiti

Huu mwaka wa machozi kwa ex alonisaliti siku ya harusi yangu musimpe hata juice anikomee

Chorus
Huu mwaka eee huu mwaka eee*2

Aa huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake msitake mtaniita boss

huu mwaka eee huu mwaka eee*2

Verse
Kwanza nashukuru tumevuka tumeuona

Yale yaliopita yametukomaza

Oya wanangu wa bodaboda wa kina mama wauza mboga hata wachawi wabeba nyota huu mwaka ni wetu

Kama unadangadanga sana ila ucsahau kumake bwana uje kujenga kakibanda nawe uwe na kwenu

Na ukipata limama ee likomoe likupe pesa huu mwaka utoboee

Oyaa usikae kizembe na usichague jembe kama mkulima lima kama unaimba Imba utoboee

Huu mwaka eee huu mwaka eee*2
 
Back
Top Bottom